Ezekieli 48:34 BHN

34 Ukuta wa upande wa magharibi utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo nao utakuwa na malango matatu: Lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali.

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:34 katika mazingira