Danieli 2:24 BHN

24 Basi, Danieli akamwendea Arioko aliyekuwa ameteuliwa kuwaangamiza wenye hekima wa Babuloni, akamwambia, “Usiwaue wenye hekima wa Babuloni, ila nipeleke mimi mbele ya mfalme, nami nitamweleza maana ya ndoto yake.”

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:24 katika mazingira