25 Kisha akauliza, “Lakini sasa mbona ninaona watu wanne wakitembeatembea humo motoni bila kufungwa na wala hawadhuriki, na mtu wa nne anaonekana kama mwana wa miungu?”
Kusoma sura kamili Danieli 3
Mtazamo Danieli 3:25 katika mazingira