Danieli 9:11 BHN

11 Waisraeli wote wameiasi sheria yako, wamekuacha wakakataa kukutii. Kwa sababu tumekukosea, tumemwagiwa laana na viapo vilivyoandikwa katika sheria ya Mose, mtumishi wako.

Kusoma sura kamili Danieli 9

Mtazamo Danieli 9:11 katika mazingira