Danieli 9:12 BHN

12 Umethibitisha yale uliyosema utatutenda sisi pamoja na watawala wetu kwa kuuadhibu mji wa Yerusalemu vikali zaidi ya mji mwingine wowote duniani.

Kusoma sura kamili Danieli 9

Mtazamo Danieli 9:12 katika mazingira