Esta 1:11 BHN

11 Aliwaamuru hao wamlete kwake malkia Vashti, akiwa amevaa taji yake ya kimalkia. Malkia huyo alikuwa na sura ya kuvutia sana, hivyo mfalme alitaka kuwaonesha wageni wake na viongozi uzuri wake.

Kusoma sura kamili Esta 1

Mtazamo Esta 1:11 katika mazingira