13 Wakati wa kwenda kwa mfalme, kila mwali alipewa kila alichotaka kuchukua kutoka nyumba ya wanawake kwenda nacho ikulu.
Kusoma sura kamili Esta 2
Mtazamo Esta 2:13 katika mazingira