Esta 2:21 BHN

21 Wakati Mordekai alipokuwa anaketi penye lango la mfalme, Bigthana na Tereshi, wawili baadhi ya matowashi wa mfalme waliokuwa walinzi wa milango ya vyumba vya mfalme, waliudhika kiasi cha kula njama kumuua mfalme Ahasuero.

Kusoma sura kamili Esta 2

Mtazamo Esta 2:21 katika mazingira