5 Mjini Susa, palikuwa na mtu mmoja Myahudi, jina lake Mordekai, mwana wa Yairi mwana wa Shimei, mwana wa Kishi wa kabila la Benyamini.
Kusoma sura kamili Esta 2
Mtazamo Esta 2:5 katika mazingira