Esta 4:5 BHN

5 Basi, akamwita Hathaki, mmoja wa matowashi wa mfalme aliyeteuliwa na mfalme amhudumie Esta, akamtuma kwa Mordekai kuuliza kisa na maana ya tukio hilo.

Kusoma sura kamili Esta 4

Mtazamo Esta 4:5 katika mazingira