Esta 5:11 BHN

11 Ndipo akaanza kuelezea juu ya utajiri aliokuwa nao, wana aliokuwa nao, jinsi mfalme alivyompandisha cheo, na jinsi alivyopewa madaraka zaidi kuliko maofisa wengine wote wa mfalme.

Kusoma sura kamili Esta 5

Mtazamo Esta 5:11 katika mazingira