2 Mfalme alipomwona malkia Esta amesimama uani, alipendezwa naye, akamnyoshea fimbo ya dhahabu aliyokuwa ameshika mkononi mwake. Esta akakaribia, akagusa ncha ya fimbo.
Kusoma sura kamili Esta 5
Mtazamo Esta 5:2 katika mazingira