9 Hamani alitoka huko karamuni mwenye furaha tele na moyo mkunjufu. Lakini alipomwona Mordekai penye lango la ikulu, hasimami wala hampi heshima, Hamani akawaka hasira.
Kusoma sura kamili Esta 5
Mtazamo Esta 5:9 katika mazingira