Esta 7:3 BHN

3 Malkia Esta akamjibu, “Kama nimepata upendeleo kwako, ewe mfalme, na ukiwa radhi kunitimizia ombi langu, haja yangu ni mimi niishi na watu wangu pia.

Kusoma sura kamili Esta 7

Mtazamo Esta 7:3 katika mazingira