Esta 8:10 BHN

10 Mordekai alikuwa ameandika nyaraka hizo kwa jina la mfalme Ahasuero, akazipiga mhuri kwa pete ya mfalme. Na waliozipeleka walikuwa matarishi waliopanda farasi wenye nguvu waendao kasi.

Kusoma sura kamili Esta 8

Mtazamo Esta 8:10 katika mazingira