Esta 8:17 BHN

17 Katika kila mkoa na kila mji, popote pale tangazo hili liliposomwa, Wayahudi walifurahi na kushangilia, wakafanya sherehe na mapumziko; na watu wengine wengi wakajifanya kuwa Wayahudi, maana waliwaogopa sana Wayahudi.

Kusoma sura kamili Esta 8

Mtazamo Esta 8:17 katika mazingira