2 Mfalme akaivua pete yake ya mhuri aliyokuwa amemnyanganya Hamani, akampa Mordekai. Esta naye akampa Mordekai mamlaka juu ya mali ya Hamani.
Kusoma sura kamili Esta 8
Mtazamo Esta 8:2 katika mazingira