Esta 9:14 BHN

14 Mfalme akaamuru hayo yatekelezwe, na tangazo likatolewa mjini Susa. Wana kumi wa Hamani wakanyongwa hadharani.

Kusoma sura kamili Esta 9

Mtazamo Esta 9:14 katika mazingira