Esta 9:17 BHN

17 Siku hiyo ilikuwa ya kumi na tatu ya mwezi wa Adari. Siku iliyofuata ya kumi na nne, walipumzika, wakaifanya kuwa siku ya karamu na sherehe.

Kusoma sura kamili Esta 9

Mtazamo Esta 9:17 katika mazingira