Ezra 1:5 BHN

5 Basi, wakaondoka viongozi wa koo za makabila ya Yuda na Benyamini, makuhani na Walawi, na kila mtu ambaye Mungu alimpa moyo wa kwenda kujenga upya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, iliyoko Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Ezra 1

Mtazamo Ezra 1:5 katika mazingira