Ezra 10:11 BHN

11 Sasa, tubuni dhambi zenu mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, na kufanya yale yanayompendeza. Jitengeni na wakazi wa nchi hii na kuwaacha wake zenu wa kigeni.”

Kusoma sura kamili Ezra 10

Mtazamo Ezra 10:11 katika mazingira