Ezra 10:15 BHN

15 Hakuna aliyepinga mpango huu, ila Yonathani, mwana wa Asaheli na Yazeya, mwana wa Tikwa, nao wakaungwa mkono na Meshulamu na Mlawi Shabethai.

Kusoma sura kamili Ezra 10

Mtazamo Ezra 10:15 katika mazingira