Ezra 10:8 BHN

8 Ikiwa mtu yeyote atashindwa kufika katika muda wa siku tatu, kulingana na amri iliyotolewa na viongozi, mali yake yote itachukuliwa, naye binafsi atapigwa marufuku kujiunga na jumuiya ya watu waliorudi kutoka uhamishoni.

Kusoma sura kamili Ezra 10

Mtazamo Ezra 10:8 katika mazingira