62 Hao walitafuta orodha yao katika kumbukumbu za koo, lakini hawakuonekana humo. Kwa hiyo hawakuruhusiwa kushika ukuhani kwani walihesabiwa kuwa najisi.
Kusoma sura kamili Ezra 2
Mtazamo Ezra 2:62 katika mazingira