Ezra 2:69 BHN

69 Walitoa kila mtu kadiri ya uwezo wake kwa ajili ya kazi hii. Jumla ya matoleo hayo ilikuwa kilo 500 za dhahabu, kilo 2,800 za fedha na mavazi 100 kwa ajili ya makuhani.

Kusoma sura kamili Ezra 2

Mtazamo Ezra 2:69 katika mazingira