Ezra 4:1 BHN

1 Kisha maadui wa watu wa Yuda na Benyamini waliposikia kwamba watu waliorudi kutoka uhamishoni wanalijenga upya hekalu la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli,

Kusoma sura kamili Ezra 4

Mtazamo Ezra 4:1 katika mazingira