Ezra 4:13 BHN

13 Tungependa ufahamu, ewe mfalme, kuwa mji huu ukijengwa upya na kuta zake zikimalizika, watu hawatalipa kodi, ushuru wala ada, na hazina yako itapungua.

Kusoma sura kamili Ezra 4

Mtazamo Ezra 4:13 katika mazingira