Ezra 4:15 BHN

15 ili ufanye uchunguzi katika kumbukumbu za babu zako. Humo utagundua kwamba tangu zamani, mji huu ulikuwa mwasi na umewasumbua sana wafalme na watawala wa mikoa, na kuwa tangu zamani watu wake ni wachochezi sana; ndio sababu mji huo uliangamizwa.

Kusoma sura kamili Ezra 4

Mtazamo Ezra 4:15 katika mazingira