Ezra 4:17 BHN

17 Kisha mfalme akapeleka jibu lifuatalo:“Kwa mtawala Rehumu, kwa Shishai, katibu wa mkoa, pamoja na wenzenu wote wanaoishi Samaria na mahali penginepo katika mkoa wa magharibi ya Eufrate.

Kusoma sura kamili Ezra 4

Mtazamo Ezra 4:17 katika mazingira