Ezra 4:5 BHN

5 Tena waliwahonga maofisa wa serikali ya Persia wawapinge Wayahudi. Waliendelea kufanya hivyo muda wote wa utawala wa Koreshi, mpaka wakati wa utawala wa Dario.

Kusoma sura kamili Ezra 4

Mtazamo Ezra 4:5 katika mazingira