Ezra 5:16 BHN

16 Kisha Sheshbaza alikuja na kuweka msingi wa nyumba ya Mungu mjini Yerusalemu, na tangu wakati huo ujenzi umekuwa ukiendelea mpaka sasa, lakini bado haijamalizika.’

Kusoma sura kamili Ezra 5

Mtazamo Ezra 5:16 katika mazingira