Ezra 5:2 BHN

2 Nao Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na Yeshua, mwana wa Yosadaki, walipousikia ujumbe huo walianza tena kuijenga nyumba ya Mungu mjini Yerusalemu, wakisaidiwa na manabii wa Mungu.

Kusoma sura kamili Ezra 5

Mtazamo Ezra 5:2 katika mazingira