Ezra 6:15 BHN

15 Ujenzi wa nyumba hiyo ulimalizika mnamo siku ya tatu ya mwezi wa Adari, katika mwaka wa sita wa utawala wa mfalme Dario.

Kusoma sura kamili Ezra 6

Mtazamo Ezra 6:15 katika mazingira