Ezra 6:18 BHN

18 Pia, kwa ajili ya huduma ya Mungu katika Yerusalemu, waliwapanga makuhani katika makundi yao ya Walawi katika zamu zao kufuatana na maagizo yaliyoandikwa katika kitabu cha Mose.

Kusoma sura kamili Ezra 6

Mtazamo Ezra 6:18 katika mazingira