Ezra 6:21 BHN

21 Waliokula mwanakondoo wa Pasaka walikuwa Waisraeli wote waliorudi kutoka uhamishoni pamoja na watu wengine wote ambao walikuwa wameziacha njia za mataifa mengine ili kumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Ezra 6

Mtazamo Ezra 6:21 katika mazingira