Ezra 6:9 BHN

9 Kila siku, tena bila kukosa, mtawapa makuhani wa Yerusalemu kila kitu watakachohitaji; iwe ni fahali wachanga, kondoo dume au wanakondoo wa sadaka za kuteketezwa kwa Mungu wa mbinguni, au ngano, chumvi, divai au mafuta.

Kusoma sura kamili Ezra 6

Mtazamo Ezra 6:9 katika mazingira