Ezra 7:10 BHN

10 Ezra alikuwa amejitoa kwa moyo wote kujifunza sheria ya Mwenyezi-Mungu, kuitii na kuwafundisha watu wa Israeli maagizo na amri zake.

Kusoma sura kamili Ezra 7

Mtazamo Ezra 7:10 katika mazingira