Ezra 7:18 BHN

18 Fedha na dhahabu itakayobaki unaweza kuitumia pamoja na wananchi wenzako kama mtakavyopenda, kufuatana na mapenzi ya Mungu.

Kusoma sura kamili Ezra 7

Mtazamo Ezra 7:18 katika mazingira