Ezra 8:18 BHN

18 Kwa neema yake Mungu, walituletea Sherebia, mtu mwenye busara na Mlawi wa ukoo wa Mahli, pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wanane.

Kusoma sura kamili Ezra 8

Mtazamo Ezra 8:18 katika mazingira