Ezra 8:20 BHN

20 Mbali na hao, kulikuwa na wahudumu wa hekalu 220 ambao babu zao walikuwa wamechaguliwa na mfalme Daudi na maofisa wake kuwasaidia Walawi. Majina ya watu wote hawa yaliorodheshwa.

Kusoma sura kamili Ezra 8

Mtazamo Ezra 8:20 katika mazingira