Ezra 8:36 BHN

36 Aidha, waliwakabidhi manaibu wa mfalme na watawala wa mkoa wa magharibi ya Eufrate mwongozo waliopewa na mfalme, nao walitoa msaada kwa watu na kwa ajili ya nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili Ezra 8

Mtazamo Ezra 8:36 katika mazingira