4 Eliehoenai, mwana wa Zerahia, wa ukoo wa Pahath-moabu, pamoja na wanaume 200.
5 Shekania, mwana wa Yahazieli, wa ukoo wa Zatu, pamoja na wanaume 300.
6 Ebedi, mwana wa Yonathani, wa ukoo wa Adini, pamoja na wanaume 50.
7 Yeshaya, mwana wa Athalia, wa ukoo wa Elamu, pamoja na wanaume 70.
8 Zebadia, mwana wa Mikaeli, wa ukoo wa Shefatia, pamoja na wanaume 80.
9 Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218.
10 Shelomithi, mwana wa Yosifia, wa ukoo wa Bani, pamoja na wanaume 160.