Ezra 9:11 BHN

11 ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii ukisema: ‘Nchi mnayoiendea na ambayo itakuwa mali yenu ni nchi iliyo najisi yenye uchafu wa wakazi toka nchi mbalimbali, kwa machukizo yao, wameijaza unajisi tele kila mahali.

Kusoma sura kamili Ezra 9

Mtazamo Ezra 9:11 katika mazingira