14 Je, tutavunja amri zako tena na kuoana na watu hawa watendao maovu haya? Je, hutatukasirikia na kutuangamiza kabisa, asibaki hata mmoja wetu hai wala yeyote wa kutoroka?
Kusoma sura kamili Ezra 9
Mtazamo Ezra 9:14 katika mazingira