Ezra 9:3 BHN

3 Nilipoyasikia maelezo hayo, nilizirarua nguo zangu na joho langu, nikazingoa nywele zangu na ndevu zangu kwa huzuni kubwa na kuketi chini kwa hofu.

Kusoma sura kamili Ezra 9

Mtazamo Ezra 9:3 katika mazingira