Habakuki 1:16 BHN

16 Kwa hiyo, wanazitambikia nyavu zao,na kuzifukizia ubani;maana kwa hizo huweza kuishi kwa anasa,na kula chakula cha fahari.

Kusoma sura kamili Habakuki 1

Mtazamo Habakuki 1:16 katika mazingira