Habakuki 1:6 BHN

6 Maana ninawachochea Wakaldayo,taifa lile kali na lenye hamaki!Taifa lipitalo katika nchi yote,ili kunyakua makao ya watu wengine.

Kusoma sura kamili Habakuki 1

Mtazamo Habakuki 1:6 katika mazingira