Habakuki 1:8 BHN

8 “Farasi wao ni wepesi kuliko chui;wakali kuliko mbwamwitu wenye njaa.Wapandafarasi wao wanatoka mbali,wanaruka kasi kama tai arukiavyo mawindo.

Kusoma sura kamili Habakuki 1

Mtazamo Habakuki 1:8 katika mazingira