19 Ole wake mtu aliambiaye gogo: ‘Amka!’Au jiwe bubu ‘Inuka!’Je, sanamu yaweza kumfundisha mtu?Tazama imepakwa dhahabu na fedha,lakini haina uhai wowote.”
Kusoma sura kamili Habakuki 2
Mtazamo Habakuki 2:19 katika mazingira