Habakuki 3:16 BHN

16 Nasikia hayo nami ninashtuka mwilini,midomo yangu inatetemeka kwa hofu;mifupa yangu inateguka,miguu yangu inatetemeka.Ninangojea kwa utulivu siku ile ya maafa,ambayo inawajia wale wanaotushambulia.

Kusoma sura kamili Habakuki 3

Mtazamo Habakuki 3:16 katika mazingira